sw_act_text_ulb/07/09.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 9 Kwa sababu mababa zetu wakamwonea wivu Yusufu walimuuza katika nchi ya Misri, lakini Mungu alikuwa pamoja naye, \v 10 na akamwokoa katika dhiki yake yote, na akampa fadhili na hekima mbele ya Farao mfalme wa Misri. Farao akamfanya awe mtawala juu ya Misri na juu ya nyumba yake yote.