sw_act_text_ulb/09/23.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 23 Baada ya siku nyingi, Wayahudi wakafanya shauri pamoja ili wamuue. \v 24 Lakini mpango wao ukajulikana na Sauli. Wakamvizia mlangoni mchana na usiku wapate kumuua. \v 25 Lakini wanafunzi wake wakamchukua usiku wakamshusha kupitia ukutani, wakamtelemsha chini katika kapu.