\v 3 Hata alipokuwa akisafiri, ilitokea kwamba alipokaribia Dameski, ghafla ikamwangaza kotekote nuru kutoka mbinguni,' \v 4 naye akaanguka chini na akasikia sauti ikimwambia,"Sauli, Sauli, mbona wanitesa mimi?"