sw_act_text_ulb/19/33.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 33 Baadhi ya umati walimshauri Iskanda, ambao Wayahudi walikuwa wanasukuma mbele. Basi Iskanda akatoa ishara kwa mkono wake kutaka kutoa utetezi kwa kusanyiko. \v 34 Lakini walipotambua kuwa yeye ni Myahudi, wote wakapiga kelele kwa sauti moja kwa muda wa saa mbili, wakisema "Diana ni mkuu wa Wafeso."