sw_act_text_ulb/16/32.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 32 Walinena neno la Bwana kwake, pamoja na watu wote wa nyumbani kwake, \v 33 Mlinzi wa gereza aliwachukua usiku ule na kuwaosha sehemu walizoumia, yeye pamoja na watu wa nyumbani mwake wakabatizwa mara. \v 34 Akawaleta Paulo na Sila nyumbani kwake na kuwatengea chakula. Naye akawa na furaha kuu pamoja na watu wa nyumbani mwake, kwamba alikuwa amemwamini Mungu.