sw_act_text_ulb/13/32.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 32 Hivyo tunawaletea habari njema kuhusu ahadi walizopewa mababu zetu. \v 33 Mungu aliweka ahadi hizi kwetu, watoto wao, kwa kumfufua Yesu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: 'Wewe ni Mwanangu, leo nimekuwa Baba yako' \v 34 Kuhusu kumfufua kutoka kwa wafu, ni kwamba Mwili wake usiharibike tena, amesema namna hii: nitakupa BARAKA halisi natakatifu za Daudi'