sw_act_text_ulb/28/19.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 19 Lakini wale Wayahudi walipoongea kinyume cha shauku yao, nililazimika kukata rufaa kwa Kaisaria, japokuwa haikuwa kana kwamba naleta mashtaka juu ya taifa langu. \v 20 Kwa hiyo, kwa sababu hii, niliwaita kwamba nipate kuwaona na kuongea nanyi, ikiwa ni kwasababu ya tumaini la Israeli kwamba , nimefungwa kwa minyororo hii.