sw_act_text_ulb/28/05.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 5 Lakini yeye akamtupia huyo mnyama katika moto na hakupata madhara yoyote. \v 6 Wao walimngojea avimbe kwa homa au aanguke ghafla na kufa. Lakini baada ya kumwangalia kwa muda mrefu na kuona kwamba hakuna jambo ambalo si la kawaida kwake, walibadilisha mawazo yao na kusema alikuwa muungu.