sw_act_text_ulb/23/16.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 16 Lakini mtoto wa dada yake na Paulo akasikia kwamba walikuwa wakimvizia, akaenda akaingia ndani ya ngome na kumwambia Paulo. \v 17 Paulo akamwita akida mmoja akasema, "Mchukue kijana huyu kwa jemadari; maana ana neno la kumwambia."