sw_act_text_ulb/21/15.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 15 Baada ya siku hizi, tulichukua mifuko yetu na tukapanda kwenda Yerusalemu. \v 16 Kulikuwepo pia baadhi ya wanafunzi waliofuatana nasi kutoka Kaisaria. Wakamleta mtu mmoja aitwaye Mnasoni, mtu wa Kipro, mwanafunzi wa zamani, ambaye tulikaa naye.