sw_act_text_ulb/17/19.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 19 Wakamchukua Paulo na kumleta Areopago, wakisema, "Twaweza kujua haya mafundisho mapya unayoyaongea? \v 20 Kwani unaleta mambo mapya katika masikio yetu. Kwahivyo tunataka kujua haya mambo yana maana gani?" \v 21 (Na watu wote wa Athene pamoja na wageni waliopo kwao, walitumia muda wao aidha katika kuongea na kusikiliza juu ya jambo jipya.)