sw_act_text_ulb/17/01.txt

1 line
274 B
Plaintext

\c 17 \v 1 Sasa walipokuwa wamepitia katika miji ya Amfipoli na Apolonia, walikuja mpaka mji wa Thesalonike ambao kulikuwa na sinagogi la Wayahudi. \v 2 Paulo, kama ilivyokuwa desturi yake , alienda kwao, na kwa muda wa siku tatu za Sabato alijadiliana nao juu ya maandiko.