sw_act_text_ulb/15/01.txt

1 line
374 B
Plaintext

\c 15 \v 1 Baadhi ya watu fulani walishuka kutoka Uyahudi na kuwafundisha ndugu, wakisema, "msipotahiriwa kulingana na desturi ya Musa, hamwezi kuokolewa." \v 2 Hili lilileta Paulo na Barnaba kwa mzozo na mjadala mkali pamoja nao. Hivyo Paulo na Barnaba, pamoja na baadhi ya wengine miongoni mwao, waliteuliwa kwenda Yerusalemu kukutana na mitume na wazee kuhusu swali hili.