sw_act_text_ulb/14/21.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 21 Baada ya kufundisha injili katika mji ule na kuwafanya wanafunzi wengi, walirudi Listra, hadi Ikonio, na hadi Antiokia. \v 22 Waliendelea kuziimarisha roho za wanafunzi na kuwatia moyo kudumu katika imani, wakasema, "Lazima tuingie katika ufalme wa Mungu kwa kupitia dhiki nyingi."