sw_act_text_ulb/10/22.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 22 Wakasema, "Akida mmoja jina lake Kornelio, mtu mwenye haki na anayemcha Mungu, na watu humsema vyema katika taifa lote la Kiyahudi, aliagizwa na malaika mtakatifu kukutuma kwako uende nyumba kwake, ili asikie ujumbe kutoka kwako." \v 23 Hivyo Petro akawakaribisha kuingia ndani na kukaa pamoja naye.