sw_act_text_ulb/08/29.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 29 Roho akasema na Filipo, "Sogea karibu na gari hili ukashikamane nalo. \v 30 "Hivyo Filipo akamkimbilia , akamsikia akisoma katika kitabu cha nabii Isaya; akasema, Je unafahamu unachosoma?" \v 31 Ndipo Muethiopia akasema, "Nitawezaje mtu asiponiongoza?" Akamsihi Filipo apande garini na kuketi pamoja naye.