sw_act_text_ulb/03/19.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 19 Kwa hiyo, tubuni na mgeuke, ili kwamba dhambi zenu ziweze kuondolewa kabisa, kusudi zije nyakati za kuburudika kutokana na uwepo wa Bwana; \v 20 kusudi aweze kumtuma Kristo ambaye ameshateuliwa kwa ajili yenu, Yesu.