sw_act_text_ulb/03/01.txt

1 line
419 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na walikuwa wakimuweka pale kila siku kwenye mlango wa hekalu uitwao Mzuri. Walikuwa wanamuweka pale kila siku ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.