1 line
348 B
Plaintext
1 line
348 B
Plaintext
\v 36 Baada ya siku kadhaa Paulo alisema kwa Barnaba, "Na turudi sasa na kuwatembelea ndugu katika kila mji tulipohubiri neno la Bwana, na kuwaona walivyo. \v 37 Barnaba alihitaji pia kumchukua pamoja nao Yohana aliyeitwa Marko. \v 38 Lakini Paulo alifikiria haikuwa vizuri kumchukua Marko, aliyewaacha huko Pamfilia na hakuendelea nao katika kazi. |