1 line
398 B
Plaintext
1 line
398 B
Plaintext
\v 7 Baada ya majadiliano marefu, Petro alisimama na kusema kwao, "Ndugu mwatambua kwamba kitambo kizuri kilichopita Mungu alifanya chaguo kati yenu, kwamba kwa mdomo wangu Mataifa wasikie neno la injili, na kuamini. \v 8 Mungu, anayefahamu mioyo, anashuhudia kwao, anawapa Roho mtakatifu, kama alivyofanya kwetu; \v 9 na hakutengeneza utofauti kati yetu na wao, akiifanya mioyo yao safi kwa imani. |