1 line
410 B
Plaintext
1 line
410 B
Plaintext
\v 22 Wakasema, "Akida mmoja jina lake Kornelio, mtu mwenye haki na anayemcha Mungu, na watu humsema vyema katika taifa lote la kiyahudi, aliagizwa na malaika mtakatifu wa Mungu kukutuma ili kwenda kwenye nyumba yake, ili asikie ujumbe kutoka kwako." \v 23 Petro akawakaribisha kuingia ndani na kukaa pamoja naye. Asubuhi iliyofuata akaamka akaenda pamoja naye, na ndugu wachache kutoka Yafa wakaambatana naye. |