1 line
295 B
Plaintext
1 line
295 B
Plaintext
\v 35 Hii ndiyo sababu kasema pia katika zaburi nyingine, 'Hautaruhusu mtakatifu wako kuuona uozo.' \v 36 Kwa kuwa baada ya Daudi kutumikia mapenzi ya Mungu katika kizazi chake, alilala, alilazwa pamoja na baba zake, na aliuona uaharibifu, \v 37 Lakini aliyefufuliwa na Mungu hakuuona uharibifu. |