sw_act_text_ulb/20/11.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 11 Kisha akapanda tena ghorofani na akaumega mkate, akala. Baada ya kuzungumza nao kwa muda mrefu hadi alfajiri, akaondoka. \v 12 Wakamleta yule kijana akiwa hai wakafarijika sana.