sw_act_text_ulb/02/32.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 32 Huyu Yesu--Mungu alimfufua, ambaye sisi wote ni mashahidi. \v 33 Kwa hiyo, akiwa ameinuliwa katika mkono wa kuume wa Mungu, na akiwa amepokea ahadi ya Roho Mtakatifu kutoka kwa Baba, yeye amemimina ahadi hii, ambayo ninyi mnaona na kusikia.