1 line
362 B
Plaintext
1 line
362 B
Plaintext
\v 27 Kwa hiyo tumemtuma Yuda na Sila, watawaambia mambo yayo hayo. \v 28 Kwa kuwa ilionekana vyema kwa Roho Mtakatifu na kwetu, kutoweka juu yenu mzigo mkubwa kuliko mambo haya yaliyo ya lazima: \v 29 kwamba mgeuke kutoka kwenye vitu vitolewavyo kwa sanamu, damu, vitu vya kunyongwa, na uasherati. Kama mtajiweka mbali na hivi, itakuwa vyema kwenu. Kwa herini." |