sw_act_text_ulb/03/04.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 4 Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, alisema,"tutazame sisi." \v 5 Yule kiwete akawatazama, akitazamia kupokea kitu fulani kutoka kwao. \v 6 Lakini Petro akasema, "fedha na dhahabu mimi sina, lakini kile nilichonacho nitakupa. Katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth, tembea."