sw_act_text_ulb/28/23.txt

1 line
389 B
Plaintext

\v 23 Walipokuwa wametenga siku kwa ajili yake, watu wengi zaidi walimjia mahali alipokuwa anaishi. Alisema lile jambo kwao na kushuhudia kuhusu ufalme wa Mungu. Alijaribu kuwashawishi kuhusu Yesu, kwa namna zote mbili kutoka katika sheria za Musa na kutoka kwa manabii, kuanzia asubuhi hadi jioni. \v 24 Baadhi yao walishawishika kuhusu mambo yale yaliyosemwa, wakati wengine hawakuamini.