sw_act_text_ulb/26/09.txt

1 line
488 B
Plaintext

\v 9 Sasa ni kweli, mimi mwenyewe nilifikiria kwamba ningepisa kufanya mambo mengi dhidi ya jina la Yesu wa Nazareti. \v 10 Nilifanya haya katika Yerusalemu. Niliwafunga grezani watu wengi watakatifu wa Mungu, kwa mamlaka niliyoipokea kutoka kwa wakuu wa makuhani; na wakati walipokuwa wameuawa, nilipiga kura dhidi yao. \v 11 Mara nyingi niliwaadhibu katika masinagogi yote na nilijaribu kuwalazimisha wakufuru. Nilikuwa na hasira sana juu yao na niliwatesa hata katika miji ya ugenini.