sw_act_text_ulb/25/21.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 21 Lakini wakati Paulo amekata rufaa kuwekwa chini ya ulinzi kwa ajili ya uamuzi wa Mfalme, niliamuru akae chini ya ulinzi hata nitakapompeleka kwa Kaisari. ' \v 22 Agripa alimwambia Festo, "ningependa pia kumsikiliza mtu huyu." "Festo, akasema, "kesho utamsikiliza."