sw_act_text_ulb/23/11.txt

1 line
159 B
Plaintext

\v 11 Usiku uliofuata Bwana alisimama kando yake na kusema, "kuwa na ujasiri, kwa kuwa umenishuhudia katika Yerusalemu, hivyo utatoa ushahidi pia katika Roma."