sw_act_text_ulb/22/17.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 17 Baada ya kuwa nimerejea Yerusalemu, na nilipokuwa nikisali ndani ya hekalu, ikatokea kwamba nikapewa maono. \v 18 Nikamuona akiniambia, 'Hima na utoke Yerusalemu haraka, kwa sababu hawatakubali ushuhuda wako kuhusu mimi.'