sw_act_text_ulb/21/12.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 12 Tuliposikia mambo hayo, sisi na watu waliokuwa wakiishi mahali pale tulimsihi Paulo asipande kwenda Yerusalemu. \v 13 Ndipo Paulo alijibu, "Mnafanya nini, mnalia na kunivunja moyo wangu? Kwa maana niko tayari, siyo tu kufungwa, lakini pia kufia huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu." \v 14 Kwa vile Paulo hakutaka kushawishiwa, tuliacha na kusema, " Basi mapenzi ya Bwana yafanyike."