sw_act_text_ulb/20/33.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 33 Sikutamani fedha ya mtu, dhahabu, au mavazi. \v 34 Ninyi wenyewe mnajua kwamba mikono hii imenipatia mahitaji yangu mwenyewe na mahitaji ya wale waliokuwa pamoja nami. \v 35 Katika mambo yote niliwapa mfano wa jinsi inavyopaswa kuwasaidia wanyonge kwa kufanya kazi, na jinsi mnavyopaswa kukumbuka maneno ya Bwana Yesu, maneno ambayo yeye mwenyewe alisema: "Ni heri kutoa kuliko kupokea."