sw_act_text_ulb/20/22.txt

1 line
472 B
Plaintext

\v 22 Na sasa, angalieni, mimi, ninaenda Yerusalemu, nikiwa nimelazimishwa na Roho Mtakatifu , bila kujua nini kitatokea kwangu huko, \v 23 Isipokuwa kwamba Roho Mtakatifu hunishuhudia mimi katika kila mji na anasema kwamba minyororo na mateso ndivyo vinavyoningojea. \v 24 Lakini mimi si kufikiria kwamba maisha yangu ni kwa njia yoyote ya thamani kwangu, ili niweze kumaliza mwendo wangu na huduma niliyopokea kutoka kwa Bwana Yesu, kuishuhudia injili ya neema ya Mungu.