sw_act_text_ulb/17/18.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 18 Lakini baathi ya Waepikureo na Wastoiko, wenye ujuzi wakakutana naye. Na wengine wakasema, " Ni nini anachokisema huyu mpiga porojo? Wengine wakasema, "anaonekana ni mtu anayetangaza habari za miungu migeni," kwa sababu anahubiri habari ya Yesu na ufufuo.