sw_act_text_ulb/16/06.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 6 Paulo na mabingwa wake wakaenda Firigia na Galatia, kwani Roho Mtakatifu aliwakataza kuhubiri neno huko kwenye jimbo la Asia. \v 7 Walipokaribia Misia, walijaribu kwenda Bithinia, lakini Roho wa Yesu akawakataza. \v 8 Hivyo wakapita Misia walikuja mpaka Mji wa Troa.