sw_act_text_ulb/13/44.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 44 Sabato iliyofuata, karibu mji mzima ulikusanyika kusikia neno la Mungu. \v 45 Wayahudi walipoona makutano, walijawa na wivu na kuongea maneno yaliyopinga vitu vilivyosemwa na Paulo na walimtukana.