\v 28 Ijapokuwa hawakupata sababu nzuri za adhabu ya kifo ndani yake, walimwomba Pilato amuue. \v 29 Wapolokua wamekamilisha mambo yote yaliyoandikwa kuhusu yeye, walimshusha kutoka mtini na kumlaza kaburini.