sw_act_text_ulb/10/46.txt

1 line
333 B
Plaintext

\v 46 Kwa kuwa walisikia hawa watu wa mataifa wakizungumza kwa lugha zingine na kumtukuza Mungu. Kisha Petro akajibu, \v 47 "Kuna mtu yeyote anaweza kuzuia maji ili watu wasibatizwe, Watu hawa wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi?" \v 48 Ndipo akawaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo. Baadaye wakamwomba akae nao kwa siku kadhaa.