sw_act_text_ulb/10/01.txt

1 line
271 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Sasa palikuwa na mtu fulani katika mji wa kaisaria, jina lake aliitwa Kornelio, alikuwa mkuu wa kikosi cha askari wa Kiitaliano. \v 2 Alikuwa mtu mcha mungu, aliyemcha Mungu pamoja na nyumba yake yote; alitoa sadaka nyingi kwa watu na kumwomba Mungu siku zote.