sw_act_text_ulb/09/31.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 31 Basi kanisa lote katika Uyahudi, Galilaya na Samaria, lilikuwa na amani, na likajengwa, na likatembea katika hofu ya Bwana na faraja ya Roho Mtakatifu, kanisa likakua kwa kuongezeka idadi. \v 32 Kisha ilitokea Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote za mkoa, alishuka pia kwa watu watakatifu wa mungu ambao waishio katika mji wa Lida.