sw_act_text_ulb/06/07.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 7 Hivyo, neno la Mungu liliendelea kuenea; na idadi ya wanafunzi ilizidi kuongezeka huko Yesrusalem; na idadi kubwa ya makuhani wakawa watii wa imani.