sw_act_text_ulb/27/21.txt

1 line
332 B
Plaintext

\v 21 Baada ya kuwa wameenda muda mrefu bila chakula, hapo Paulo akasimama katikati ya mabaharia akasema, "Wanaume, mlipaswa mnisikilize, na tusingengo'a nanga kutoka Krete, ili kupata haya madhara na hasara. \v 22 Na sasa nawasihi sana mjitie moyo, kwa sababu hakutakuwepo wa kupoteza maisha kati yenu, isipokuwa hasara ya meli tu.