sw_act_text_ulb/27/36.txt

1 line
191 B
Plaintext

\v 36 Kisha wote wakatiwa moyo na wao wakachukua chakula. \v 37 Tulikuwa watu 276 ndani ya meli. \v 38 Walipokwisha kula vya kutosha, waliifanya meli nyepesi kwa kutupa ngano ndani ya bahari.