sw_act_text_ulb/27/19.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 19 Siku ya tatu, mabaharia walitupa vyombo vya meli kwa mikono yao wenyewe. \v 20 Wakati ambapo jua na nyota hazikutuangazia kwa siku nyingi, bado dhoruba kubwa ilitupiga, na matumaini kwamba tungeokolewa yalitoweka.