sw_act_text_ulb/26/27.txt

1 line
338 B
Plaintext

\v 27 Je, unaamini manabii, Mfalme Agripa? Najua kwamba unaamini. ' \v 28 Agripa akamwambia Paulo, 'Kwa muda mfupi unaweza kunishawishi mimi na kunifanya Mkristo? \v 29 Paulo akasema, '"Namwomba Mungu kwamba, iwe kwa muda mfupi au mrefu, si wewe tu, bali pia wote wanaonisikia leo, wawe kama mimi, lakini bila ya minyororo hii ya gereza."