sw_act_text_ulb/25/01.txt

1 line
328 B
Plaintext

\c 25 \v 1 Ndipo Festo alipoingia katika jimbo hilo na baada ya siku tatu alienda toka Kaisaria hadi Yerusalemu. \v 2 Kuhani mkuu na Wayahudi maarufu walileta mashtaka dhidi ya Paulo kwa Festo, na walizungumza kwa nguvu kwa Festo. \v 3 Na walimwomba Festo kibali dhidi ya Paulo apate kumwita Yerusalemu ili waweze kumuua njiani.