sw_act_text_ulb/23/34.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 34 Naye liwali alipoisoma barua, alimuuliza Paulo alitokea jimbo gani; alipojua ya kwamba ni mtu wa Kilikia, \v 35 akasema, "Nitakusikia wewe watakapo kuja wale waliokushitaki," akaamuru awekwe katika ikulu ya Herode.