sw_act_text_ulb/23/12.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 12 Kulipokucha, baadhi ya Wayahudi walifanya njama na kujiweka chini ya kiapo wenyewe: walisema ya kwamba hawatakula wala kunywa chochote mpaka watakapomuua Paulo. \v 13 Kulikuwa na watu zaidi ya arobaini ambao walifanya njama hii.