sw_act_text_ulb/18/04.txt

1 line
478 B
Plaintext

\v 4 Hivyo Paulo alijadiliana nao katika sinagogi kila siku ya Sabato, akijaribu kuwashawishi Wayahudi pamoja na Wayunanii. \v 5 Sasa Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo alisukumwa na Roho kuwashuhudia Wayahudi kuwa Yesu ndiye Kristo. \v 6 lakini Wayahudi walipompinga na kumdhihaki, Paulo akawakung'utia vazi lake mbele yao, na kuwaambia, "Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu wenyewe; Mimi sina hatia. Kutoka sasa na kuendelea, nitawaendea watu wa Mataifa".